nabi ka amibiya namani
je wewe wataka uponyaji ?
n'enda yorodani
ji chovye mara saba.
na japo yorodani ime jaa
matope na uchafu ndani yake
je mimi na stahili
kuji chovya humo ?
mina mali nyingi
mina nyumba nzuri
wala sikosi kitu
sita enda huko
ile bana
haoni mambo hayo
ana ona vitu
hivi vi wili
imani imani
imani imani
imani na ku tii
ndiyo siri kubwa
imani imani
imani imani
imani na ku tii
ndiyo siri kubwa
wana wa sraeli katika safari
yao ku ingiya kanana
bwana aka wa ambiya
wata vuka yorodani kwa miguu
kupitiya nabi wake yoshuwa
akiongoza kundi hilo kubwa
kwa imani yao waka tii
waka vuka muto
nuhu naye yule aka jenga Safina
sababu bwana aka muambiya mvuwa
katika siku chache ita nyesha siku arbaini
naye kwa imani yake aka tii
aka jenga hiyo safina
mvuwa ilipo nyesha aka okolewa
na sisi was kristo
katika safari
ya kwenda mbinguni
tuwe na imani
sababu huwezi
mpendeza baba
pasipo imani
imani na ku tii
imani imani
imani imani
imani na ku tii
ndiyo siri kubwa
imani imani
imani imani
imani na ku tii
ndiyo siri kubwa
imani imani
imani imani
imani na ku tii
ndiyo siri kubwa
eh eh eeee tuwe na imani
eh eh imani ndiyo siri kubwa
eh eh eeee tuwe na imani
ee imani ndiyo siri kubwa
(kwa mungu wetu)
NDIYO SIRI KUBWA


Commentaires
Enregistrer un commentaire